TAMASHA LA KILL MUSIC TOUR 2013 LAZINDULIWA RASMI LEO.



Meneja wa bia ya Kilimanjaro music awards George Kavishe akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Kill music Tour 2013 jijini Dr es salaam. Kushoto ni Kala Jeremiah na Kulia ni Nassibu Abdalah ‘Diamond’.



Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nassibu Abdalah akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya kwenye mikoa 8 ambapo jumla ya wasanii 24 watashiriki.


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Kala Jeremiah akizungumzia ziara hiyo ya wasanii


Chazi Baba akitoa vionjo vya moja ya nyimbo zake.


Meneja wa Baia ya Kilimanjaro George Kavishe akiteta jambo na Diamond na chaz Baba wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu Kili Music Tour 2013


Profesa J akiwashukuru wale wote waliompigia kura pamoja na kuwasihi wasanii kutokata tama na kujipanga vizuri katika tuzo za mwakani ili waje kungara.
 

No comments:

Post a Comment