BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!: MBUNGE WA MBEYA MJINI SUGU APATA AJALI.




Mbunge wa Mbeya mjini ambaye pia ni msanii wa bongo flava , mh.Joseph Mbilinyi amepata ajali hivi punde katika eneo la kasheki wilayani Hanan'g akielekea Arusha mjini.
 
Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu alikuwa akielekea Arusha mjini kuungana na wabunge wengine katika shughuli ya kuwaaga marehemu waliolipukiwa na bomu kwenye mkutano wa Chadema, mwishoni mwa wiki iliyopita.
katika ajali hiyo hakuna mtu aliye jeruhiwa mbunge huyo yupo salama kabisa,gari la sugu limeharibiwa vibaya baada ya kugonganana basi hilo la abiria.  
*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*

2 comments:

  1. Anonymous11:56 PM

    Ohhhh, Mbaya sana, hizi ni habari za kushtua, hata hivyo tunamwombea Mungu ampe moyo wa ujasiri ili aweze kushiriki vyema kwenye majukumu yake aliyoyafuata Arusha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. asante kwa kuchangila maoni yako una t-shirt yako kwetu

      Delete