MTOTO WA MKULIMA MIZENGO PINDA AWAJULIA HALI WABUNGEBU WA CHADEMA NASARI,NMELOK SOKOINE.

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari ambaye amelazwa katika hospitali ya Serian Arusha anakotibiwa  kwa madai ya kushambuliwa na wananchi eneo la Makuyuni. (picha na ofisi ya waziri mkuu)
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole  Mbunge wa Viti Maalum,Namelok Sokoine aliyelazwa kwenye hospital ya Serian Arusha baada ya kuvunjika mguu akiwa nyumban kwake. (picha na ofisi ya waziri mkuu)

*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*

No comments:

Post a Comment