UKUMBI : URAFIKI SOCIAL HALL(NYANGUMI)
MC : L.MAPUNDA
MUSIC : THE TOP ENTERTAINMENT
DEE JAY : AHMADOU & KULIKO DEE JAYS(the top dee jays)
| WAKATI WA UTAMBULISHO |
| LUCY(HUSNA) KATIKA PICHA YA PAMOJA NA NDUGU ZAKE |
| HUSNA(LUCY) AKIKABIDHIWA ZAWADI NA MAMA YAKE |
| KILANGI SASA |
| MAMA WA UBATIZO AKITOWA NENO WAKATI AKIKABIDHI ZAWADI |
| MAMA WA MZAZI WA LUCY AKIPEWA AKITUNZWA |
| HUSNA(LUCY) KATIKA POZI NA MAMA YAKE |
| ZIGY KAKA WA BI. HARUSI MTARAJIWA KATIKA POZI NDIYE ALIYE SIMAMAMI SHUGULI NZIMA YA DADA YAKE |
| ZAWADI NA MKONO WA PONGEZI |
| POZI KWA POZI IMEBAMBA.... |
| SWAGAAAAAAAAAAAA..... |
| MAMA WA BI HARUSI MTARAJIWA ALIPOKUWA AKIINGIA UKUMBINI |
| BABA WA BI,HARUSI MTARAJIWA AKIINGIA UKUMBINI |
| HUSNA(LUCY) NA MPAMBE WAKE KATIKA POZI |
| HUSNA(LUCY) |
| JARISILI AKOSI ASILI WACHAGA KATIKA MILA ZAO ZA KUCHEZA KINYUMBANI |
| MEDS & BOYS OF THE NIGHT |
| LUCY(HUSNA) AKIWAONGOZA WACHAGA KUCHEZA NGOMA ZA ASILI |
| ZIGY AKIWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI |
| HUSNA(LUCY) ALIPOKUWA ANAINGIA UKUMBINI |
| MAMA MZAZI AKITOWA NENO LA BARAKA |
| BI.HARUSI MTARAJIWA AKIENDA KUMCHUKUA MUME WAKE MTARAJIWA |
| BI & BW HARUSI WATARAJIWA... |
| MWENYEKITI WA KAMATI ALIPOKUWA ANAWAKARISHA KATIKA SHEREHE YA HUSNA(LUCY) |
| BW.HARUSI MTARAJIWA AKITAMBULISHWA BAHADHI YA NDUNGU |
| WAKATI WA CHAKULA CHA JIONI |
| HUSNA AKIKATA KEKI |
| KEKI IKIPELEKWA PANDE ZOTE ZA WAZAZI |
| ZIGI TAYARI KWA KUMKABIDHI DADA YAKE KAMA MILA ZINAVYOSEMA |
| ZIGI AKIMKABIZISHA DADA YAKE KWA MSHENGA |
| WONDERFUL (NDAFU) |
| BABA AKIKATA NDAFU |
| KIONGOZI WA KAZI MC L.MAPUNDA AKITUMIKA |
| ZIGY AKITOWA BURUDANI YA MZIKI AKIIMBA NA BEND |
No comments:
Post a Comment