RATIBA YA MAZISHI YA LANGA.






Ratiba ya mazishi ya ndugu yetu Langa kileo ambaye alikuwa msanii wa bongo fleva itakuwa hivi ,msiba upo nyumbani kwa wazazi wake langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hosp ya AAR zamani kulikuwa na ofisi za Benchmark Production.Mwili wa marehemu utaagwa siku ya Jumatatu majira ya saa 7 mchana na baada ya hapo mwili utaelekea makaribu ya kinondoni kwa mazishi majira ya saa kumi alasiri.



*ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*

No comments:

Post a Comment