ALICHOKISEMA SUGU BAADA YA KUTOA KAULI MBAYA KWA WAZIRI MKUU.





Mbunge wa mbeya mjini,Mhe Joseph Mbilinyi(sugu)ameomba radhi kwa mhe Pinda na watanzania kwa ujumla kwa Lugha aliyotumia katika kuonyesha hisia zake juu ya kauli aliyoitoa mhe panda bungeni.amesema haya “naombeni radhi kwa tusi nilililitoa kwa mhe Pinda ,kwani nilikuwa nimeghafirika haikuwa kusudio langu kumtukana mmoja wa viongozi wan chi.”

No comments:

Post a Comment