UVICA ON THE WAY...

KUELEKEA TAREHE 22/06/2013 UONGOZI WA UMOJA WA VIJANA CALFORNIA(UVICA) PAMOJA NA WANACHAMA WAKE WOTE WANAWAKARIBISHA WADAU WOTE WA USAFI SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 22/06/2013 KWENYE HARAKATI ZA UWAMASISHAJI WA USAFI KWA JAMII NZIMA YA WANAWATANZANIA ILI KUJUWA UCHAFU SI AFYA BALI USAFI NI AFYA KUTANA NAO SIKU HIYO HOSPITAL YA PALESTINA SINZA KUUNGANA NAO KWA AJILI YA KUWEKA MAZINGIRA YA USAFI HOSPITALINI.
 UVICA ON THE WAY...
 ANGALIA PICHA ZA WANA UVICA WAKIFANYA USAFI SEHEMU  TOFAUTI TOFAUTI ZA MAENEO YA JIJI LA DAR ES SALAAM



UVICA DAIMA MBELE SIKU ZOTE.

*** ASANTE KWA KUTUTEMBELEA***

No comments:

Post a Comment