PICHA ZA RAISI WA MAREKANI KWENYE ZIARA YAKE AFRIKA

 
Obama akiwa kwenye lango la kisiwa cha Goree
 Obama alipotembelea kisiwa cha Goree.


 Obama na familia yake walipotembelea maeneo yaliyotumika kusafirisha wakimbizi enzi za ukoloni.
 Obama na familia yake walipo tembelea kikundi cha ngoma katika kisiwa cha goree karibu na Dakar Senegal


No comments:

Post a Comment