NEC YAHAIRISHA UCHAGUZI ARUSHA..




Tume ya taifa ya uchaguzi imesimamisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa idiwani katika kata nne jijini Arusha.Akizungumza kwa njia ya simu kutoka ZanzibarMwenyekiti huyo wa tume ya uchaguzi alisema wameamua kusimamisha uchaguzi huo ili kuwapa nafasi vyombo vya usalama kuchunguza swala hilo.

Alisema kuwa sheria inawapa mamlaka kufanya hivyo pale wanapogundua kuwa hakutakuwa na uhuru wa mpiga kura kwenda kupiga kura.

No comments:

Post a Comment