AKAMATWA KWA MGANGA WA JADI KWA TUHUMA ZA KUTAKA KUUWA KWA USHIRIKINA.

Mtuhumiwa akiwa ndani ya chumba cha mganga na Mganga wake aitwae Yahaya tayari kwa kufanya mambo ya kishirikina

Mwanamke mmoja katika picha hapo juu ajulikanae kwa jina la Magreth Simon Nkwera,amekamatwa kwa Mganga wa kienyeji akitaka kutekeleza jaribio la kutaka kuwauwa baadhi ya watoto wa mumewe na baadhi ya ndugu zake huko kibaha maili moja mkoani Pwani na hivi sasa yupo katika kituo cha polisi Maili moja akisubiri kupandishwa kizimbani.
Mtuhumiwa huyo ambaye ni mfanyakazi wa shirika la nyumbu kibaha mkoani  Pwani akiwa anahojiwa na mzee wa ukoo wa Shirima ,Afisa polisi jeshi daraja la kwanza Joseph Shirima mara baada ya kukamatwa live kwa sangoma.
                 *ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU*

No comments:

Post a Comment