HAWA NDO WANA UVICA HALISI,JUWA LAO MVUA YAO ILI MRADI KAZI IENDE NA MAZINGIRA KUWA MASAFI ZAIDI,WAFUATILIE JAPO KWA DAKIKA MBILI(2) TU KATIKA PICHA WAKIPIGA MZIGO WA USAFI MITAHANI SINZA E
BUTO,MEKU & BATULI
SUZAN
KHATIBU & BUTO.
<<<< KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE >>>>
KATIBU WA UVICA
SUZAN PAMOJA NA KATIBU WA UVICA WAKIWAJIBIKA
KAZI UKU STORY ZA KUWEKANA SAWA ZIKIENDELEA
UCHAFU HUWA HAUACHWI DAIMA MEKU AKIONDOWA UCHAFU
KATIBU UVICA AKIWAHIMIZA VIJANA KUPUNGUZA STORY
KAZI KAZI KAZI ...
UVICA WAKIWA KATIKA HARAKATI ZA USAFI MAKTABA YA UDZUNGWA SINZA JIJINI DAR ES SALAAM.
LAZIMA MAKTABA IWE SAFI
KATIBU UVICA,BATURI PAMOJA NA RIZIKI
USAFI NI AFYA.
KAZI AMAKWA HAKIKA IMEFANYIKA
KAZI UKU UBADILISHWAJI WA MAWAZO YAKITOLEWA
PAMEPENDEZA,PAME NGAAAAAAA.
HIZI NDO AZA TUNAZOKUTANA NAZO WANA UVICA
VIJANA WA UVICA WAKIWA WANATOWA UCHAFU ULIOTELEKEZWA
BAHADHI YA WANA UVICA HALISI
No comments:
Post a Comment