HAPA NI UWAJIBIKAJI TU.KWA SEHEMU HII UTAONA NI JINSI GANI,AMBAVYO WANA UVICA KWA KILA ALIYEKWENDA KWENYE ZIARA HII,ALIJUWA KILICHOMPELEKA NI NINI ? MANA KILA MTU ALIWAJIBIKA VYA KUTOSHA.
MZEE MANYALA AKIENDELEA NA KAZI YA USAFI
VG WAKIWASILI HOSPITALINI KWA USAFI
VG AKIMSAIDIA MWENZAKE AMBAYE NI MLEMAVU WA MKONO KUVAA GLOVES
MWENYEKITI SM MTAA SINZA E NA MAMA NCHIMBI
TWENDE KAZI MWENYEKITI WA USAFI UVICA AKIWAJIBIKA
VG & RED CROSS
USAFI UKIENDELEA FLOOR YA PILI JENGO LA WAZAZI
NJAMA...
KATIBU UVICA AKITOWA MAELEKEZO UKU AKISIKILIZWA KWA MAKINI NA MWENYEKITI WA USAFI NA KATIBU WAKE (UVICA)
UWAJIBIKAJI UKIENDELEAAA...
MEKU AKITAFAKARI JAMBO
No comments:
Post a Comment