GETRUDA SHELUKINDO NIGHT'S...

UKUMBI : BM COMPLEX - TEGETA
MC : POLD SONDOKA 
MUSIC : THE TOP ENTERTAINMENT
DEE JAY : KULIKO DEE JAYS(the top dee jays).
 BI.HARUSI GETRUDA AKIINGIA UKUMBINI...

 BI.HARUSIMTARAJIWA GETRUDA AKIWA NA MATRON WAKE 
 <<<<KWA PICHA ZAIDI BOFYA REED MORE >>>>



 SHEREHE ILIFUNGULIWA KWA SALA?MAOMBI
 MWENYEKITI WA KAMATI AKIWA NA KAMATI YAKE

 MWENDO WA MBILI MBILI ....
 MWENYEKITI WA KAMATI AKIWAKALIBISHA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI.

 KINYAJI CHA MLIPUKO(CHAMPAGNE)


 BI.HARUSI MTARAJIWA GETRUDA AKIKATA KEKI...

 AKILISHA KEKI NA MATRON WAKE
 AKIMLISHA KEKI MATONI WAKE KWA KUMSHUKURU
 AKIPELEKA KEKI KWA WAZAZI WAKE WA PANDE ZOTE MBILI
 WAZAZI WAKIPOKEA KEKI KUTOKA KWA MTOTO WAO
 AKIWAKABIDHI WAKWE ZAKE KEKI
 KAMATI IKIPOKEA KEKI KUTOKA KWA BI.HARUSI MTARAJIWA GETRUDA



 WACHAGA WAKICHEZA RINGIASILI YAOYA UCHAGANI...

 MANENO YA BARAKA KUTOKA KWA MZAZI

 ZAWADI PAMOJA NA MKONO WA PONGEZI

 LELELELELELE LEEEEEEEEE LELE...

 KAMATI IKIFUNGUWA ZAWADI
 SHANGAZI NA MSHENGA
 MAJADILIANO YAKIENDELEA BAINA YA SHANGAZI NA MJOMBA
 MIMI NA WEWE NI KITU KIMOJA...AINA MANA...
 BW.HARUSI MTARAJIWA AKIWA NA BEST MAN WAKE.
 AKICHUKULIWA NA MKEWE MTARAJIWA KWA AJILI YA CHAKULA CHA JIONI.
 MTU NA KITU CHAKE
 KAMA MAPACHA VILE UREFU SAWA,MAUMBILE SAWA WEWE HAPANA CHEZEA.



 WAKIPATA CHAKULA CHA JIONI

 LISHA NI KULISHE NI ISHARA YA UPENDO
 MTIMA WANGU NI WEWE
 KWAITOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!



 NILIJUWA MTASEMA MTASEMA...
 MAMBO YA VIDOLE JUU SASA NIPE STARA,VIWAVI JESHI


BI.HARUSI MTARAJIWA GETRUDA AKIONDOKA UKUMBINI

1 comment: