SEHEMU YA NANE(8) YA SAFARI YA UMOJA WA VIJANA WA MTAA WA CALIFORNIA...

KIONGOZI WA USAFI UVICA AKIWAKARIBISHA VIONGOZI WA CHADEMA KAMA UNAVYOJUWA UVIKA ATUFUNGAMANI NA CHAMA CHOCHOTE,DINI,SIASA WALA UBAGUZI WA RAGIKARIBU KWA KILA MTU.ATUBAGUI MTU
 VIONGOZI WA CHADEMA WAKIWASILI KATIKA ZOEZI LETU..
  VIONGOZI WA CHADEMA WAKIWASILI KATIKA ZOEZI LETU..
 MWENYEKITI WA SM SINZA E AKIWAKARIBISHA VIONGOZI WA CHADEMA KATIKA ZOEZI LETU
 SUZY AKITUMIKA KATIKA USAFII
 BATULI NAYE ALIKUWEPO KATIKA ZOEZI LETU LA USAFI...

 PICHA YA PAMOJA
 PICHA YA PAMOJA UVICA,VG,RED CROSS,VIONGOZI WA SM SINZA E,VIONGOZI WA CHADEMA
VIONGOZI KATIKA PICHA YA PICHA YA PAMOJA

No comments:

Post a Comment