USAFI MTAA KWA MTAA...


 UMOJA WA VIJANA WA CALFORNIA (UVICA) LEO JUMATANO KUANZIA SAA 8:00 KAMILI MCHANA MPAKA SAA 10:00 KAMILI JIONI WANAZINDUA SEGMENT MPYA YA USAFI IJULIKANAYO KAMA MTAA KWA MTAA UZINDUZI HUO UTAFANYIKA MTAA WA MWENYEKITI WA SERIKARI YA MTAA SINZA E MH.S.KABULU

PICHA YA JUU IKIMWONESHA MWENYEKITI WA UVICA HALIMA A.SWEDY HAKIWAJIBIKAKUFANYA USAFI
KARIBU SANA KAMA WEWE NI MDAU WA USAFI NA UNGEPENDA KUJIUNGA NAO KATIKA HARAKATI YA USAFI WA KUFANYA MJI UENDELEE

TAKA TAKA HATARI.

UCHAFU UKIWA UMEJAA MAENEO YA SINZA ITEBA DARAJANI AMBAKO WAKAZI WENGI WANAOZUNGUKA MITAA IYO WAMEGEUZA SEHEMU IYO KUWA DAMPO
 HATARI
MWENYEKITI WA USAFI UVICA AKIANGALIA UWARIBIFU WA MAZINGIRA

NICE...

MAHARUSI WAKIFUNGUWA MUSIC KWA BLUES

 MTU NA MTUWE
KICHEKO CHA FURAHA.

JAMANI WATU WANATOKA MBALI...

CHECK SET UP... HAPA ILIKUWA MBAGALA ZAKHEM NJE KIDOGO YA MJI MAENEO YA KOBODE MAJI
UKIONA MTU KAENDELEA UJUWE AMETOKA MBALI NA SIKU ZOTE MAFANIKIO HUJA KWA MTU KUTHUBUTU,KUJIAMINI NA KUFANYA KAZI KWA BIDII.SIKU ATAKAPOKUWA NA MAENDELEO UTAMWITA MAJINA MENGI SANA MCHOYO,ANAJISIKIA NA MENGINE MENGI UNAYOYAJUWA

UZINDUZI WA SESSION MPYA YA USAFI...

UMOJA WA VIJANA MTAA WA CALIFORNIA WIKI HII WANAZINDUA SESSION YAO MPYA YA USAFI IJULIKANAYO KWA JINA LA USAFI MTAA KWA MTAA UZINDUZI HUO UTAANZIA MTAA WA MWENYEKITI WA SERIKALI YA MH.KASSIM KABULU KUANZIA SAA 8:00 MCHANA MPAKA SAA10:00 JIONI

 HAPA UVICA WAKIPIGA USAFI MAKTABA YA UDZUNGWA
TWENDE KAZI MPAKA KIELEWEKE

NGOMA JUU YA NGOMA...

MWANGALIE KATIKA PICHA DEE JAY KULIKO DEE JAYS AKIWAPAGAWISHA WAGENI WAALIKWAKATIKA KUMBI MBALI MBALI ZA SHEREHE KUPITIA SEGMENT YATU YA NGOMA JUU YA NGOMA.
 HAPO UKUMBI WA LAMADA HOTEL ILALA
 KITU CHA TWIST KIKI MPAGAWISHA MWENYEKITI WA KAMATI
 NGOMA ZA HATARI ZIKIACHIWA NA KULIKO DEE JAYS UKUMBI WADOLPHINE - SINZA
COUNTY SIDE KIBAHA MAILI MOJA NJE KIDOGO YA JIJI LA DAR ES SALAAM.

PICHA YA WEEK...

ANGALIA WATOTO WAKIGOMBANIA PIPI,MIDA YA SAA 1:30 ASUBUHI MITAA YA SINZA E,JIJINI DAR ES SALAAM KAMA WALIVYOKUTWA NA MPIGA PICHA WETU
 YUSUPH & FROLA
MPAKA KIELEWEKE HAPA

UVICA WAKIFANYA USAFI MAKTABA YA UDZUNGWA...

FUATILIA KWA MAKINI KATIKA PICHA WANA UVICA WAKIFANYA USAFI MAKTABA YA UDZUNGWA MAENEO YA SINZA E
MAKTABA YA UDZUNGWA


KAZI KAZI UVICA WAKIAKIKISHA PANAKUWA PASAFI ADI JUU
<<<<kWA PICHA ZAIDI BONYEZA REED MORE>>>>

IMEBAMBAAA...

JE ? WEWE UNABIASHARA YAKO NA UNGEPENDA KUPATA WATEJA ZAIDI NA ZAIDI BASIUJACHELEWA WASILIANA NASI NA UTAGAZE KWENYE BLOG YETU NAWE UTAPATA WATEJA WENGI ZAIDI NA ZAIDI.




 SIKU YA KOMUNIO YAKE YA KWANZA BOKO BASIHAYA
 MR & MRS SEKU SIKU YA SHEREHE YAO CHICHI HOTELI - KINONDONI
PICHA TOFAUTI TOFAUTI ZINAZOONESHA POZI MBALI MBALI ZA MAHARUSI WAKIWA KATIKA SIKU ZA SHEREHE ZAO.

THE TOP ENTERTAINMENT KAZINI...

FUATILIA BAHADHI YA PICHA KUTOKA KWA THE TOP ENTERTAINMENT WAKIWA KAZINI KATIKA KUMBI MBALI MBALI,TUNATOWA HUDUMA ZOTE ZINAZOHUSU SHEREHE MBALI MBALI,EVENT PLAN,TUNAKODISHA VITI,MEZA,TURUBAI,SAHANI,MASUFURIA NA KILA KITU KINACHOHUSU MAPISHI.TUPO KWA AJILI YAKO WASILIANA NASI KWA NAMBA ZETU HAPO JUU NASI TUTAKUHUDUMIA.
 HAPA SETTING IKIENDELEA UKUMBI WA TAZARA
BAADA YA KAZI NZITO YA SET UP VIJANA WAKIWA WAMEPUMZIKA TAYARI KWA KAZI.

MADIKO DIKO...

CHECK MPANGILIO MZURI WA CHAKULA UNAVYOPANGWA VIZURI KATIKA KUMBI NYINGI ZA SHEREHE 
 
 KACHUMBARI IKIWA KATIKA MPANGILIO MZURI
 KWA KIZUNGU WATER MELON KISWAHILI TIKITI MAJI
 KEKI IKIWA IMEKATWA VIPANDE VIDOGO VIDOGO ILI KILA MTU APATE
UPANDE WA NYAMA SASA

VIATU KWA AJILI YA MAHARUSI

SEMA NENO MOJA TU KUHUSU AINA GANI NZURI YA VIATU VINAVYO WAFAA MAHARUSI .

SEMA NENO MOJA TU.

VINYWAJI...

CHECK AINA YA VINYAJI VINAVYOTUMIKA KWENYE SHEREHE MBALI MBALI .
 AINA YA KINYWAJI CHA MLIPUKO KAMA KINAVYOJULIKANA KWA JINA LA KIZUNGU CHAMPAGNE.
 WENYEWE WATUMIAJI WANAZIITA LOCAL BEAR ZILIVYOTAPAKAA JUU YA MEZA
KAZI NA UWEZO KWAKO TU KWA WATUMIAJI KWANI WALIKUNYWA MPAKA WAKAACHA WENYEWE.

NYIMBO ZA MAKABILA...

KILA MTANZANIA ANA KABILA LAKE CHEKI BAHADHI YA MAKABILA YAKICHEZA NGOMA ZA ASILI YAO.
 WANGONI WAKICHEZA TUSEREBUKE,VANDU VANDU KANDEGE KALONDOKA ASILI YAO
 WASAMBAA WAKICHEZA NI MDODO,CHONGE ASILI YAO
WACHAGA WAKICHEZA RINGI AKUNA KUIBIANA HAPO KWANI LAZIMA UMKAMATE MWENZIO MKONO

CALIFORNIA STREET BASH!!??!?!!?!??? INAKUJIA HIVI KARIBUNI

HAYA SASA IKIWA IMEBAKI MIEZI MICHACHE KWA AJILI YA TAMASHA KUBWA LA CALIFORNIA STREET BASH,MAMBO MENGI YATAKUWEPO,CHANZO CHETU CHA HABARI KIMETUBAINISHIA KUWA TAMASHA LA MWAKA HUU LITAKUWA NA VITU VINGI ZAIDI KULIKO MWAKA JANA.
MWAKA JANA KILA DEE JAY NA MWANACHAMA ALIPEWA T-SHIRT YENYE JINA LAKE.
HAPA VIJANA WAKIOSHA MAJIKO KWA AJILI KUCHOMEA NYAMA CHOMA
HUYO HAPO JUU NDO DIRECTOR WA EVENTS ZOTE ZA UVICA TAREHE UMEIONAAAAAA