UVICA WAMKAMATA MCHAFUZI WA MAZINGIRA...

JAMAA HUYU NI MOJA YA MIONGONI MWA WATU WASIOPENDA KUTUNZA MAZINGIRA HAPA AKIJARIBU KUJITETEA MBELE YA MZEE NGOTI AMBAYE MWENYEKITI WA KAMATI YA USAFI WA SERIKALI YA MTAA WA SINZA E .MTUHUMIWA ALITUHUMIWA KWA KOSA LA KUTUPA UCHAFU KWENYE MTALO,MAENEO AMBAYO UMOJA WA VIJANA SINZA E (UVICA) UWA WANAYAFANYIA USAFI WA HALI YA JUU.

 MTUHUMIWA AKIJITETEA MBELE YA KIONGOZI WA USAFI WA SERIKARI YA MTAA WA SINZA E.

MTUHUMIWA AKIPEWA ONYO .

No comments:

Post a Comment