UMOJA WA VIJANA MTAA WA CALFORNIA WANAWAKARIBISHA WADAU WOTE WA USAFI KILA SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA 11:30 ASUBUHI MPAKA SAA 2: KAMILI ASUBUHI KATIKA HARAKATI ZA KULIFANYA JIJI LA DAR ES SALAAM KUWA SAFI USAFI UNAANZIA SINZA E MTAA WA CALFORNIA NA KUENDELEA MITAA MINGINE NDANI NA NJE YA SINZA KARIBUNI SANA WADAU WA USAFI TULIFANYE JIJI LA DAR ES SALAAM KUWA SAFI.
PENDA MAZINGIRA YAKO YAWEKE KATIKA HALI YA USAFI UVICA ON THE WAY NA HARAKATI ZA KUFANYA USAFI
HAKUNA LINALOWEZEKANA KAMA SI KUAMUA NA KUWA NA UTHUBUTU WA KUWEZA.UVICA WAMETHUBUTU NA WAMEWEZA HONGERENI SANA WANA UVICA KWA JUHUDI ZENU ZA KUIFANYA SINZA KUWA SAFI
UCHAFU UKIKUSANYWA TAYARI KWA KUZOLEWA
MWENYEKITI HALIMA AKIWAHAMASISHA WANA UVICA KATIKA USAFI
WANAUVICA WAKIFYEKA MAJANI ILI KUYAWEKA KATIKA MAZINGIRA MAZURI.
UVICA WAKIFANYA USAFI UKU WAKIJADILIANA JINSI YA NAMNA YA KUIFANYA SINZA NA MAENEO MENGINE KUWA SAFI ZAIDI
UVICA NA MAPAMBANO YA KUIFANYA JIJI KUWA SAFI
UVICA NA HARAKATI ZA KUIFANYA SINZA KUWA SAFI ZAIDI
MWENYEKITI HALIMA,KATIBU DUMMA & AMANI
KUTOKA KUSHOTO MWENYEKITI HALIMA,REVO,NAIMA,MWENYEKITI WA USAFI CHIEF B,KHATIBU,BUNTO & AMADOU
UCHAFU UKIZOLEWA NA KWENDA KUWEKA SEHEMU HUSIKA
HALIMA,AMADOU & DUMA
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU
No comments:
Post a Comment