SEHEMU YA TISA(9) YA SAFARI YA UMOJA WA VIJANA CALIFORNIA HOSPITAL YA PALESTINA...

SEHEMU HII YA TISA UTAONA NI JINSI GANI MUHESHIMIWA DIWANI R.PAMBA AKISHIRIKIANA NA VIJANA WA UVICA KWA PAMOJA NA VG KATIKA KUWEKA MAZINGIRA YA HOSPITAL YETU YA PALESTINA SINZA KUWA SAFI.
 
 MH.DIWANI WA SINZA AKIUNGANA NA VIJANA WA UVICA KATIKA HARAKATI ZA KUIFANYA HOSPITAL YA PALESTINA SINZA KUWA SAFI
 MH.DIWANI R.PAMBA
 SUZAN KUTOKA UVICA
 VG WAKIPAKA RANGI
 MH.DIWANI AKISAFISHA MTALO WA MAJI
 MH .DIWANI NA UVICA


 PICHA ZA PAMOJA


 UVICA WAKIKABIDHI DUST BEEN HOSPITAL YA PALESTINA.

MH.DIWANI AKIBADILISHANA MAWAZO NA UVICA & VG
 DUST BEEN YA UVICA IKIWA IMEWEKWA TAYALI KWA AJILI YA KUPOKEA UCHAFU
MH.DIWANI AKISEMA NENO KWA UVICA PAMOJA NA VG

No comments:

Post a Comment