SEHEMU YA PILI(2) YA UMOJA WA VIJANA CALFORNIA(UVICA) TOUR YAMAGOMENI...

FUATILIA SEHEMU YA PILI YA WANAUMOJA WA VIJANA CALIFORNIA WAKIENDA KUWAPIGA TAFU USAFI WENZAO WA VG KATIKA HARAKATI ZA KULIFANYAJIJILA DAR ES SALAAM KUWA SAFI ANGALIA VIJANA WANAVYOJITUMA BILA MALIPO YOYOTE.
 WAKISALIMIANA NA WENZAO WA VG
 WAKIGAWANA MA GROUP KWA AJILI YA KAZI
 KAZI IMEANZA SASA HAPANA CHEZEA WEWE

<<<<KWA PICHA ZAIDI BOFYA REED MORE>>>>

 TAKA TAKA NOMAAAAAAAAAAAAAA

 UCHAFU LAZIMA UZOLEWE...

 USAAAAAFIIIIIIII TU
 UVICA & VG






 UCHAFUUKIKUSANYWA PAMOJA




KAMA WEWE NI MDAU WA USAFI UNAKARIBISHWA KUUNGANA NASI TUNAPATIKANA MTAA WA CALIFORNIA SINZA E.

No comments:

Post a Comment