EVODIA'S NIGHT..

UKUMBI : MAWELA SOCIAL HALL
MC ; POLD SONDOKA
MUSIC : the top entertainment
 EVODIA Akiingia ukumbini kwa shangwe na ndelemo.
 Kwa picha zaidi bofya hapa chini...




SALA ya ufunguzi wa sherehe.

Kamati wakitowa zawadi kwa ajili ya EVODIA
Bw.Harusi Mtarajiwa wa kwanza kulia Philipi Mwihava na mpambe wake


 EVODIA akifunguwa kinyaji cha mlipuko

 Wakigonganisha glass ya champagne na wapambe wake

 EVODIA Akikata keki ya send off yake
 Akilishwa keki na wapambe wake
 WAZAZI wakipokea keki ya asante kutoka kwa mtoto wao
 Heshima aliyonayo EVODIA
 WAKWE Wakipokea keki ya shukrani kutoka kwa mkwe wao.
 Maneno ya baraka kutoka kwa mzazi.
 MAMA NA MWANA...
 BABA NA MWANA...
 WANAJUMUIYA
 EVODIA Akiwa amevisha kitenge cha wawata na wanajumuiya
 Wafanyakazi wenzake na EVODIA
 Mshenga na sanduku lake.
 Shangazi na mshenga.
 EVODIA akimtafuta mumewe mtarajiwa...
 Evodia na mchumba wake Philip MWIHAVA
 Ishara ya upendo kwa wapendanao  APPLE
 Mtu na mtuye

Bi.Harusi mtarajiwa akiondoka ukumbini...

No comments:

Post a Comment