5 STAR HALL NA UZURI WAKE

5 STAR NI UKUMBI WA KISASA ZAIDI UNAPATIKANA MBEZI KITUO CHA SAMAKI SAMAKI AU MAKONDE,KUTOKA KITUONI HADI UKUMBI ULIPO NI UMBALI WA MITA 200 NI UKUMBI WA KISASA ZAIDI KWA AJILI YA SHUGULI MBALI MBALI
 UKUMBI WA KISASA ZAIDI

 HIYO NDO MAANA YA 5 STAR INA ENGO 5

 MUONEKANO MZURI PAMOJA NA PACKING YAKUTOSHA
 KIBAO KINACHOELEKEZA UKUMBI ULIPO
 5 STAR
MUONEKANO MZURI WA MBELE

No comments:

Post a Comment