MATUKIO KATIKA PICHA YA UVICA CALIFORNIA STREET BASH...

 MAFUNDI WAKIENDELEA KUWEKA MALINE BORD KWA AJILI YA SEHEMU YA KUKANYAGIAILI WATU WASIMAME VIZURI JUU YA STAGE

 AHMAD BABU KATIBU MIPANGO UVICA AKIFANYA MAWASILIANO NA WADAU ILI MAMBO KUWA SAWA
 MWENYEKITIPAMOJA NA MAKAMU KATIBU KATIBU UVICA BATULI WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAMBO YANAVYOKWENDA
 BUNTO AKICHOMA MBUZI KWA AJILI YA WAGENI WAALIKWA NA WANA UVICA
 SWEDY SOUND ENGENEAR WA THE TOP ENTERTAINMENT AKI SET SOUND TAYALI KWA STREET BASH
MWENYEKITI MIPANGO UVICA AKIWEKA MAMBO SAWA SAWA

No comments:

Post a Comment