CALIFORNIA STREET BASH...!!!!!!!!! ZIMEBAKI SIKU CHACHE PALE PALE PA SIKU ZOTE
SIKU ZINAKWENDA,MASAA YANAKATIKA ZIMEBAKI SIKU CHACHE KABLA YA SHUGULI NZIMA YA VIJANA WA UVICA PALE MTAA WA CALIFORNIA SINZA E USIKOSE !!!!!!!!!
BURUDANI YA KUTOSHA KUTOKA THE TOP ENTERTAINMENT NA FAMILIA YAO KUBWA NDO WATAKAO SIMAMIA MPANGO MZIMA WA BURUDANI,WASANII KIBAO WATAKAOPANDA JUKWAANI MAANA KUNA LIST YA KUTOSHA.
No comments:
Post a Comment