UVICA CALIFORNIA STREET BASH...2014 MWENDO MDUNDO.
STAGE IKIWA INAANZA KUFUNGWA KWA AJILI YA UVICA CALIFORNIA STREET BASH..
KATIBU MIPANGO UVICA,MKUU WA MIPANGO THE TOP AKIONGONZA UFUNGAJI WA STAGE
LAZIMA LIKAE MIPANGO IKIENDELEA
BAADA YA KUFUNGWA ZIKAFUNGWA BARNER
UFUNGAJI WA TAA UKIENDELEA
UFUNGAJI WA TAA UKIENDELEA PAMOJA NA MAMA MWAMVUA AKIPAMBA
MUONEKANO WA STAGE NDOGO
BIG BOSS AZIZI NA MKUU WA MIPANGO THE TOP,KATIBU MIPANGO UVICA
ASANTENI SANA KWA KUWA NASI 2014....
Uongozi mzima wa the top entertainment unatanguliza shukrani zetu za dhati kwa wale wote tuliofanya nao kazi mwaka huu wa 2014 tunasama asante hatuna cha kuwalipa zaidi ya kuwashukuru asanteni sana.Tunawashukuru washehereshaji wote,Dee jays wote tuliofanya nao kazi kama kuna sehemu tuliwakosea tunaomba mtusamehe.Asanteni sana mungu awatangulie 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)

