RAIS OBAMA AKIFURAHIYA MAPOKEZI BAADA YA KUTUA KWENYE ARDHI YA TANZANIA.

Rais wa Marekani akicheza muziki wa band wakati alipotua uwanjani
Obama akiwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.Rais wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Tanzania leo Jumatatu kwa ziara ya siku mbili, ikiwa ni kituo chake cha mwisho cha ziara yake barani Afrika akitokea nchini Afrika Kusini.
Obama ambaye ameambatana na mkewe Michelle Obama amepokelewa na mwenyeji wake rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Salma Kikwete katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na kisha kuelekea Ikulu ya rais. NA MPEKUZI

Rais Obama na mwenyeji wake wanatarajiwa kufanya mazungumzo ya pamoja na kisha Obama atafanya mazungumzo na waandishi wa habari kabla ya kushiriki dhifa ya pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali hapo baadaye Ikulu jijini Dar es Salaam.

Aidha hapo kesho Obama atatembelea kituo cha umeme cha Ubungo , baada ya kuahidi kutoa dola za Marekani bilioni saba kusaidia mradi wa umeme Barani Afrika.

Mpango huo wa serikali ya Marekani utazinduliwa kwanza katika nchi za Ethiopia, Ghana, Kenya, Liberia, Nigeria na Tanzania ambazo wananchi wake wanakumbwa na matatizo ya upatikanaji wa umeme.

Karibu Barack Obama kanga pamoja na vitenge waliova wananchi wa waTanzania 

Katika ziara yake Barani Afrika iliyoanzia nchini Senegal, Afrika kusini na hatimaye nchini Tanzania Obama amekuwa akisisitiza suala la demokrasia ambapo ameeleza kuwa Afrika itakuwa na mustakabali mzuri kwa kuwa na viongozi wanaopambana kuhakikisha raia wao wanakuwa na maisha bora.

Katika ziara yake nchini Afrika Kusini , Obama hakusita kusifu jitihada za kiongozi wa zamani na baba wa taifa hilo Nelson Mandela ambaye ameeleza kuwa jitihada zake za ukombozi kwa raia wa taifa hilo zilimsukuma kuingia katika siasa na hatimaye kuwa rais wa kwanza mweusi nchini Marekani

VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SINZA E WALIPODUMISHA UNDUGU NA NDUGU ZAO WA KATA YA MAKANGALA MSASANI...

 WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WAKISAKATA RHUMBA
 VIJANA WA CCM KATA YA MAKANGALA MSASANI
 CHIPUKIZI WA CCM KATA YA SINZA E
 MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI SINZA E MZEE PAUL LUVINGA
 MWENYEKITI AKITOWA NENO KWA VIJANA WA CCM

 KATIBU CCM SINZA E Mr MAYUVA
 MGENI RASMI ALIYEKUWA DIWANI MWAKA 2000 - 2010 MH.MWAKINGINDA ALIPO WASILI

 CHIPUKIZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WAKIKABIDHIWA KADI

 CHIPUKIZI WAKI HAPA MBELE YA MGENI RASMI
 MGENI RASMI AKISOMEWA RISALA NA VIJANA WA CCM HAMASA
 MGENI RASMI AKISEMA JAMBO KWA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI KATA YA SINZA E NA MSASANI MAKANGILA



 WAKATI WA CHAKULA CHA MCHANA KUTOKA KWA MAMA AFUA CATERING ANAPATIKANA SINZA E MTAA WA CALIFORNIA MPIGIE KWA SIMU NAMBA 0715 661 607...

 DEE JAY KIMIMBA a.k.a HAKUNAGA AKIPATA CHAKULA.

VIJANA WAKIPATA CHAKULA CHA MCHANA


****ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU****

CCM SINZA E WADUMISHA UNDUGU

CHIPUKIZI WACCM SINZA E WAKISHEREHEKEA UNDUGU WAO BAINA YA CCM KATA YA SINZA E NA CCM KATA YA MAKANGARA MSASANI WAKIDUMISHA UNDUGU...



 TAIFA LA LEO,KESHO AU BAADAYE...
 CHUKI NI BUREEEE
 TIKISAAA,TIKISA WE MBONA UTIKISI MENI...
SEMA NENO HAPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO...

SEHEMU YA SITA(6) YA ZIARA YA UMOJA WA VIJANA CALIFORNIA...

SEHEMU HII UTAONA KATIKA PICHA VIJANA WA UVICA WAKIENDELEA NA SHUGULI YA USAFI HOSPITAL YA SINZA PALESTINA JIJINI DAR,KAMAUNAMAONI AU USHAURI KUHUSU UVICA WANAPATIKANA SINZA E MTAA WA CALIFORNIA.
 KATIBU UVICA AKIWAJIBIKA KATIKA HARAKATI ZA USAFI
 AHMADOU AKIWAJIBIKA HODI YA WAZAZI


 MWENYEKITI UVICA
 MWENYEKITI SM MTAA SINZA E MH KABULU
 BUNTO...
 MEKU...
 RIZIKI
 MZEE MANYALA...
 HAPANA CHEZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.....
KAMBONA & MWENYEKITI UVICAAAAAAA.CHEZEA UVICA WEWE

UKUMBI WA MWIKA SOCIAL HALL SINZA MAKABURINI...

 MPANGILIO MZURI WA UKUMBI WA MWIKA
 STAGE YA MWIKA NA MUONEKANO WAKE IKIWA IMEPABWA
 WAPAMBAJI WAKIENDELEA KUPAMBA GARI YA MAHARUSI
 BARABARA YA IGESA ROAD INAYOPITA JIRANI NA UKUMBI WA MWIKA PAMOJA NA PARKING YA KUTOSHA


MWIKA SOCIAL HALL SINZA MAKABULINI