ASANTENI SANA KWA KUWA NASI 2014....

Uongozi mzima wa the top entertainment unatanguliza shukrani zetu za dhati kwa wale wote tuliofanya nao kazi mwaka huu wa 2014 tunasama asante hatuna cha kuwalipa zaidi ya kuwashukuru asanteni sana.Tunawashukuru washehereshaji wote,Dee jays wote tuliofanya nao kazi kama kuna sehemu tuliwakosea tunaomba mtusamehe.Asanteni sana mungu awatangulie 2015